NBC Premier League inaendelea leo ambapo kutakuwa na mechi kali mbili za ushindani kwenye msako wa pointi tatu muhimu.
Hii hapa ratiba ambapo Simba SC na Yanga SC zote zitakuwa kazini wiki hii kusaka pointi tatu ugenini
Machi 18 2026 mechi mbili ni: TRA United vs Yanga SC saa 10: 00 jioni
Tanzania Prisons vs Singida Black Stars saa 2:00 usiku
Machi 19 2026 kutakuwa na mechi mbili kali zinazosubiriwa kwa shauku kubwa na leo kuna mechi kali mbili zinatarajiwa kuchezwa.
Mashujaa FC vs Azam FC saa 10:00 jioni
Pamba Jiji FC vs Simba SC, saa 10:00 jioni.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.