TRA United vs Simba SC kikosi kazi cha wenyeji, Mzamiru Yassin kiungo wa wakusanya mapato Out kutokana na makubaliano ya mkataba wa timu hizo mbili.
Mzamiru yupo ndani ya TRA Unted kwa mkopo yeye ni mali ya Simba SC ambao ni wageni mchezo wa leo Machi 14 2026.
Hiki hapa kikosi cha TRA United
Jean Noel atakuwa langoni.
Wachezaji wengine ni Nasry Kombo, Valentin Nouma, Amy Mapaka, Christopher Tebandeke, Ramadhan Ramadhan, John Lazarus, Chande Chewe, Omary Yusuph, Jamalia Dulaz na Denis Nkane.
Wachezaji wa akiba Nassoro Kapama, Khasimuh Mugoya, Kaiza John, Ally Ng’anzi, Akandwanaho, Darius Kacou, Seleman Fikirini, Joe Makoye, Isaac Mtengwa na Juma Msati.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.