Kikosi cha Simba SC kitakachoanza vs TRA United, Mpanzu benchi

TRA United vs Simba SC ni leo Machi 14,2026 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, saa 10:00 jioni.

Hiki hapa kikosi cha Simba SC ambacho kinatarajiwa kuanza huku Ellie Mpanzu akianzia benchi

Mohamed Kassali

Mabeki

 Mabeki ni Shomari Kapombe, Rushine De Reuck, Nickson Kibabage na Ismael Toure.

Viungo

Inno Loemba, Allasane Kante,Libasse Gueye, Anicent Oura, Yusuph Kagoma na Clatous Chama.

Wachezaji wa akiba

 Bashir Salum, Mligo, Vedastus Masinde, Kameta, Hussen Abel, Naby Camara, Mpanzu, Hussen Mbegu, Semfuko na Morice Abraham.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.