Singida Black Stars 0️⃣–3️⃣ Yanga SC
Ushindi mnono kwa Wananchi baada ya kuonyesha ubora wao uwanjani!
⚽️ 39’ Dube
⚽️ 45+2’ Okello (Pen)
⚽️ 58’ Mudathir
Kwa matokeo haya, Yanga wanafikisha alama 32 kileleni mwa msimamo wa ligi, huku watani zao Simba SC wakiwa na alama 24 na mechi moja mkononi.
Mbio za ubingwa zinaendelea kunoga! 👀🏆
#YangaSC #NBCPL #Wananchi #TanzaniaFootball