Hii hapa rekodi ya Yanga SC vs Simba SC mechi 17

Yanga SC vs Simba SC wana rekodi ambayo wameiandika ndani ya uwanja kwenye mechi za NBC Premier League tangu 2017-2026.

Yanga SC   Simba SC
17 Mechi 17
6 Ushindi 3
8 Sare 8
17 Mabao yakufunga 11
3 Kupoteza 6
7 Mechi bila kuruhusu goli 6
42 Kadi ya njano 48
1 Kadi nyekundu 0

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.