Kuna wakati unapocheza Win&Go na namba zako zote 6 hazifanikiwi kukupa ushindi. Hapo unahisi bahati haipo upande wako. Meridianbet inakuambia sahau mawazo hayo. Kwa Lucky Loser, hata unaposhindwa, bado unashinda. Tiketi yako ikishindwa kabisa, inabadilika mara moja kuwa ushindi wa mara 30 ya dau lako, ikikuonyesha kwamba hata kupoteza kuna furaha ndani yake.
Lucky Loser inapatikana kwa wachezaji wanaotumia akaunti ya pesa taslimu pekee. Tiketi yenye namba 6 inakuwa na nguvu mbili, ya ushindi wa kawaida na ya Lucky Loser. Hii inamaanisha haijalishi tiketi imeshinda ama la, bado unapata sababu ya kusherehekea na kuangalia mchezo kwa mtazamo wa kipekee.
Meridianbet inakuja na michezo ya kasino, mechi zenye odds tamu, na njia rahisi za kujiunga na kucheza. Ukiwa na Meridianbet, kila siku ni nafasi mpya ya kuongeza kipato chako na kufurahia burudani bila mipaka. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#
Kitu cha kuvutia ni kwamba Lucky Loser inahesabu tiketi halali tu, zisizo za mfumo, zisizo na bonasi, na zisizo na Golden Round. Ukipoteza namba zote 6, tiketi yako inakuwa mshindi papo hapo. Hakuna droo, hakuna mizunguko, ni ushindi wa haraka na wa wazi, ukiweka furaha kwenye kila tiketi.
Usisubiri bahati ikupite. Weka tiketi zako za Win&Go, chagua namba zako, na acha Lucky Loser ikufanye mshindi hata unaposhindwa. Tembelea meridianbet.co.tz au kupitia application ya simu kuanza safari yako ya ushindi na Meridianbet