Morocco 1-0 Tanzania, AFCON 2025

Morocco 1-0 Tanzania raundi ya 16 bora mchezo uliokamilika nchini Morocco kwa wababe wawili kukamilisha dakika 90 za kazi.

Goli limefungwa na Brahim Diaz dakika ya 64. Wachezaji wa Tanzania wamepambana kwa ajili ya nembo bila kukata tamaa.

Mashuti yaliyopigwa ni 16, Morocco 12-4 Tanzania
Yaliyolenga lango ni 3 kwa Morocco na Tanzania 1
Umiliki asilimia 73 kwa Morocco na Tanzania 27
Faulo 15 kwa Morocco na Tanzania 18
Kadi za njano 1-5
Mtego wa kuotea 2-1
Kona 4-0

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.