JKT QUEENS MGUU SAWA ANGA LA KIMATAIFA

Baada ya timu ya JKT Queens FC kutoa sare ya pili mfululizo katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Wanawake Afrika, yanayoendelea hatua ya makundi, Ismailia nchini Misri, kocha wa timu hiyo Kessy Abdallah, amewaomba mashabiki wa timu hiyo wawe na amani, kwani, kuelekea mchezo wa mwisho wanaandaa mpango mkakati kuhakikisha timu inakwenda hatua ya nusu…

Read More

Meridianbet Yaendelea na Moyo wa Ukarimu: Yatoa Msaada Kwa Kituo cha Urekebishaji MRC

Meridianbet wameonyesha tena moyo wa huruma kwa kutoa msaada wa mahitaji muhimu kwa kituo cha MRC Rehabilitation Centre kilichopo Dar es Salaam. Hatua hii imeonyesha jinsi kampuni hiyo inavyoweka mbele ustawi wa jamii kama sehemu muhimu ya utendaji wake wa kila siku. Msaada huo ulihusisha bidhaa mbalimbali kama vyakula, sabuni, mafuta ya kupikia na bidhaa…

Read More

Yanga SC kufanya usajili wa mshambuliaji wa kazi

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves inatajwa kwamba wapo sokoni kutafuta mshambuliaji mwingine wa kazi. Katika eneo la ushambuliaji ni Andy Boyel, Prince Dube hawa wamekuwa wakipata nafasi ya kuanza huku Clement Mzize akiwa nje ya uwanja kutokana na maumivu ya goti. Licha ya timu hiyo…

Read More

Rais Samia: Nafasi ya Waziri Mkuu si ya ndugu wala rafiki, ni ya Watanzania – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaka Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kutumia nafasi aliyopewa kuwatumikia Watanzania wote bila upendeleo wa aina yoyote. Akizungumza leo Novemba 14, 2025 jijini Dodoma wakati wa hafla ya kumuapisha Dkt. Mwigulu, Rais Samia alisema nafasi hiyo ni ya kitaifa na siyo ya marafiki, ndugu…

Read More

Meridianbet Yazindua Slotopia — Ulimwengu Mpya wa Burudani na Ushindi wa Kasino Mtandaoni!

Meridianbet wanazidi kuwapendelea wapenzi wa kasino mtandaoni. Sasa wamekuja na mtoa huduma mpya wa michezo ya kasino, Slotopia, anayebeba msisimko na burudani isiyo na kifani. Sasa kila mzunguko unaocheza kwenye Meridianbet inaweza kuwa fursa ya kushinda, kufurahia, na kuingia kwenye ulimwengu wa burudani ya kisasa ya kasino. Slotopia inakuletea mkusanyiko wa michezo ya kisasa yenye…

Read More