LADACK CHASAMBI KUONDOKA SIMBA SC
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids ameweka wazi msimamo wake juu ya kiungo wake mshambuliaji, Ladack Chasambi kuwa hayupo katika mipango yake ya msimu ujao. Kuna uwezekano mkubwa nyota huyo akaondoka ndani ya kikosi cha Simba SC kwa msimu ujao ambapo inalezwa kuwa pengine anaweza kwenda KMC ama Namungo FC kwa mkopo. Benchi la ufundi…