Wakali wa ubashiri Meridianbet wanakukaribisha wewe mteja ana ambaye bado hujajiunga na kampuni hii pendwa ya ubashiri uje utimize ndoto zako hapa. Tandika jamvi la ushindi leo hapa hapa.
Tukianza na mechi hii ya Angola wao watakipiga dhidi ya Egypt ni moja ya mechi kali kabisa kupigwa huku kila timu ikihitaji kushinda mechi hii. Ikumbukwe kuwa Mafarao ndio wenye mataji mengi kwenye michuano hii. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili hakuna ambaye aliondoka na ushindi. Meridianbet inakwambia kuwa ODDS KUBWA zipo hapa. Jisajili hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Zambia dhidi ya Morocco ambao ni washindi wa 3 Kombe la Dunia 2022 kule Qatar. Pia timu hiyo ipo kwenye timu ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kushinda taji hili. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri hapa.
Kwa upande wa Comoros yeye atakuwa kibaruani dhidi ya Mali moja ya timu ambazo ngumu na zenye wachezaji wenye ubora wa hali ya juu. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili, mwenyeji alipoteza hivyo leo hii ni siku ya wao kulipa kisasi. Je wanaweza kupata ushindi?. Bashiri hapa.
Pia naye Zimbabwe ataumana dhidi ya South Africa ambao mechi yao ya mwisho ya kwenye mashindano walipata ushindi, huku wenyeji wao walipoteza mechi yao ya mwisho. Je nani kuondoka na pointi 3 za uhakika pale Meridianbet?. Suka jamvi hapa.
Ondoka na ushindi haraka kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
CHAMPIONSHIP kule Uingereza itaendelea pia ambapo Conventry atakipiga dhidi ya Ipswich ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 13 huku takwimu zikionesha kuwa mechi ya mwisho kukutana hawa wawili, mwenyeji alipasuka. Je loe hii ni siku ya mwenyeji kulipa kisasi akiwa kama kinara wa ligi?. Bashiri hapa.
Halikadhalika naye Norwich City atamenyana dhidi ya Watford huku tofauti yao hadi sasa kwenye msimamo wa ligi ikiwa ni 12. Nafasi ambayo yupo mwenyeji ni mbaya sana na anataka ashinde mechi hii atoke huko chini alipo. Lakini je anaweza kushinda mbele ya mgeni wake ambaye yupo nafasi ya 14. Suka jamvi hapa.
Pia West Bromwich atakuwa dimbani kukiwasha dhidi ya QPR ambao wanashika nafasi ya 9 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 16. Kila timu inahitaji ushindi leo hii iweze kujiweka nafasi nzuri kwenye ligi. Meridianbet wameweka machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi hii. Jisajili hapa.
Leicester City ataumana dhidi ya Derby Country ambao mpaka sasa ana pointi 30 huku mwenyeji wake akiwa na pointi 31. Tofauti yao ni pointi 1 pekee huku kila timu ikihitaji ushindi kusogea juu kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa leo. Beti sasa.