Wenyeji wa AFCON 2025, Morocco, wamelazimishwa sare ya 1–1 na Mali kwenye dimba la Prince Moulay Abdellah, uwanja wenye uwezo wa kuingiza mashabiki 69,500.
Morocco walitangulia kwa penalti ya Brahim Diaz dakika ya 45+5’, kabla ya Sinayoko kuisawazishia Mali kwa mkwaju wa penalti dakika ya 64’.
FT: Morocco 🇲🇦 1–1 🇲🇱 Mali
⚽ 45+5’ — Diaz (P)
⚽ 64’ — Sinayoko (P)
MSIMAMO — Kundi A (baada ya mechi mbili)
1️⃣ 🇲🇦 Morocco — 4 pts (+2)
2️⃣ 🇲🇱 Mali — 2 pts (0)
3️⃣ 🇿🇲 Zambia — 2 pts (0)
4️⃣ 🇰🇲 Comoros — 1 pt (-2)