Yakoub na Feisal hatihati kuikosa Nigeria

Nyota wawili wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Yakoub Suleman ambaye ni kipa na kiungo Feisal Salum kuna hatihati wakaukosa mchezo wa leo dhidi ya Nigeria.

Tanzania inatarajiwa kutupa karata yake ya kwanza katika AFCON 2025 itakuwa dhidi ya Nigeria leo Desemba 23,2025.

Sababu ya Yakoub kuukosa mchezo wa leo inatajwa kwamba alipata maumivu kwenye maandalizi ya mwisho huku Fei akiwa anatumikia adhabu ya kadi za njano.

Migue Gamondi atakiongoza kikosi kusaka ushindi kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi wakiwa nchini Morocco kwa kundi C.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.