Safari ya Ubingwa Inaanza na Mechi za AFCON

Ubingwa unaanzia na mechi kali kabisa za Mataifa yaani AFCON kwani tayari wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wameshakuwekea machaguo yako uyapendayo hivyo bashiri sasa.

Senegal watakuwa uso kwa uso dhidi ya Botswana ambapo kwenye mechi zake 6 za mwisho za Kimataifa alizocheza hakuna hata mechi moja ambayo amepata ushindi. Wakati mwenyeji yeye  kwenye mechi 6 zake za mwisho alizocheza ameshinda mechi 4 na ametoa sare mechi mbili. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii pale Meridianbet. Tandika jamvi hapa.

Pia Tunisia vs Uganda kutoka Afrika Mashariki ambao nao wapo kwenye Kundi hilo hilo C. Kila timu inahitaji ushindi kuanza vyema michuano hii mikubwa Barani Afrika. Mechi hii ina ODDS KUBWA, lakini pia machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili hapa.

Tengeneza mkwanja mrefu na michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Vilevile mtanange mkali ni huu wa Nigeria dhidi ya Tanzania ambapo mara ya mwisho kukutana hawa wawili ilikuwa ni 2015 na Taifa Stars ilipoteza mechi hii. Nafasi ya kushinda mechi hii pale Meridianbet anapewa mwenyeji kutokana na ubora wa kikosi alichonacho kulinganisha na mgeni wake. Je nani kuondoka na pointi 3 siku ya leo?. Bashiri hapa.

Unaweza kupiga pesa pia kwenye mechi ya DR Congo vs Benin ambapo mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2021 na DR yeye aliondoka na ushindi. Hii ni mechi ya kisasi kwa mgeni kwani anahitaji kupata ushindi siku ya leo. Je mwenyeji atakubali kuachia pointi 3 leo?. Suka jamvi hapa.

Pia kule Uingereza kutakuwa na mechi moja ya Carabao Cup hatua ya Robo Fainali kati ya Arsenal vs Crystal Palace ambao ni moja kati ya timu ngumu sana msimu huu kwenye ligi. Kila timu inataka ushindi isonge mbele kwenye hatua ya Nusu Fainali. Nani kushinda siku ya leo?. Beti hapa.