Mabingwa, Wakongwe Kukutana kwenye Mechi za Moto leo, Kila Mechi Ni Pesa Kwako!

Leo hii ni nafasi yako sasa kutimiza zile ndoto zako ambazo uliziweka ndani ya muda mrefu na Meridianbet. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi za kufuzu Kombe la Dunia. Jisajili na utengeneze jamvi sasa.

SUPER CUP kule Italia kutakuwa na mechi moja kali kati ya Bologna vs Inter Milan ambapo kila timu inahitaji ushindi ili isonge mbele kwa hatua inayofuata. Kwenye ligi mara ya mwisho walipokutana, vijana wa Chivu walipoteza, hivyo leo hii ndio siku ya kulipa kisasi. Bashiri hapa.

CHAMPIONSHIP kule Uingereza pia kuna mechi moja ya pesa kati ya Swansea City vs Wrexham ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 13 wakiwa na pointi zao 23, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 18 na pointi zao 27. Ushindi ni muhimu kwa timu zote mbili huku ikizingatiwa kuwa nafasi walizopo hazishawishi. Jisajili hapa.

Piga pesa na michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Ligi kuu ya Hispania, LALIGA itaendelea ambapo Valencia atakipiga dhidi ya Mallorca huku tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ikiwa ni 1 pekee, huku msimu uliopita wlaipokutana kwenye zile mechi mbili, kila mtu aliondoka na ushindi kwake. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Tandika jamvi hapa.

Kule Ujerumani pia, BUNDESLIGA kuna mechi ya pesa kati ya Borussia Dortmund vs Borussia Monchengladbach huku mara ya mwisho kukutana kwenye ligi BVB aliondoka na pointi zote 3. Kila timu inahitaji ushindi leo huu huku Meridianbet ikikwambia kuwa tengeneza jamvi lako la pesa hapa.

Pia ligi kuu ya Saudia ( Saudi Professional League) kuna mechi ambazo unaweza ukabeti ikiwemo Al Ahli atakuwa ugenini dhidi ya Damac ambapo mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Suka jamvi hapa.

Nao Al Hilal watasafiri kumenyana dhidi ya Al Taawoun ambao mpaka sasa kwenye mechi 9 walizocheza wana pointi 22 huku wageni wao wakiwa na pointi 23. Takwimu zinaonesha kuwa kwenye mechi 10 walizokutana mwenyeji ahajawahi kupata ushindi wala sare. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?. Beti hapa.

Nao Al Qadsiah watakuwa uso kwa uso dhidi ya Al Ettifaq huku tofauti yao ni pointi 5 pekee. Meridianbet wameipa mechi hii Odds za kibabe hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubashiri na wababe hawa.