Lauren Bell Akuwa Gumzo India Baada ya Usajili wa Pauni 76,000 (Mil 480)
Mamia ya mashabiki wa kriketi nchini India wiki hii wamefurika kwenye mitandao ya kijamii kumsifu mkali wa England, Lauren Bell, wakimtaja kama mchezaji mrembo zaidi wa kriketi duniani baada ya kutangazwa kusaini mkataba na klabu ya Royal Challengers Bengaluru (RCB) kwa ajili ya msimu ujao wa Women’s Premier League (WPL). Bell mwenye umri wa miaka…