Skip to content
November 25, 2025
  • Napoli, Juve, Dortmund, City… Timu Kubwa Zote Zinacheza Leo, Hakuna Kulala! Bashiri Ushinde!
  • Simba SC wakali wa Backpass CAF Champions League nyumbani
  • CAF Cofederation Cup ratiba ipo namna hii
  • Ratiba ya CAF Champions League raundi ya pili 2025/26

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • November
  • Page 8

November 2025

  • International
  • Sports

Yanga Kutumia Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa Mechi Zake za Nyumbani za Makundi

Saleh3 weeks ago3 weeks ago02 mins

Klabu ya Yanga SC imetangaza rasmi kuwa itacheza mechi zake zote tatu za nyumbani katika hatua ya makundi ya michuano ya kimataifa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, visiwani Zanzibar. Akizungumza kupitia taarifa rasmi ya klabu, Ofisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya uongozi kufanya tathmini ya kina na…

Read More
  • International
  • Sports

Manchester City, Chelsea na Barcelona Wapo Uwanjani Leo

Saleh3 weeks ago3 weeks ago03 mins

Je unajua kuwa leo hii unaweza ukageuza jero yako na kuwa Milioni?. Basi ni rahisi sana ukiwa na Meridianbet kwani hapa ndipo ndoto zako za uhakika zinaenda kutimia. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo. Newcastle United ya Eddie Howe watakuwa nyumbani pia kusaka pointi tatu dhidi ya Athletic Bilbao ambapo mara ya mwisho kukutana…

Read More
  • Sports

Burudika na Tiketi za Bure Ukicheza Non-Stop Win&G0 Drop Ya Meridianbet

Saleh3 weeks ago3 weeks ago03 mins

Meridianbet imezindua promosheni mpya ya kusisimua kwa wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni, Non-Stop Win&Go Drop. Kupitia ofa hii, wachezaji wanapata nafasi ya kujishindia hadi beti za bure 500 kila siku, bila kutumia dau lao halisi. Hii ni fursa ya kipekee kwa kila mchezaji kuonja ladha ya ushindi bila hatari, huku akifurahia burudani ya kiwango…

Read More
  • Sports

TFF Yamteua Miguel Gamondi Kuinoa Taifa Stars kuelekea AFCON 2025

Saleh3 weeks ago01 mins

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Kocha wa Singida Black Stars, Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina kuwa Kaimu kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ akichukua mikoba ya Hemed Suleiman ‘Morocco’ ambaye mkataba wake umesitishwa kwa makubaliano ya pande mbili. Taarifa ya leo Novemba 4, 2025 iliyotolewa na TFF…

Read More
  • International
  • Sports

Simba SC Yapangwa Kundi D na Miamba ya Tunisia, Angola na Mali Ligi ya Mabingwa Afrika

Saleh3 weeks ago01 mins

Wekundu wa Msimbazi Simba wamepangwa Kundi D la Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi ikiwa na miamba ya Tunisia Espérance Sportive de Tunis, Atlético Petróleos de Luanda ya Angola na Stade Malien ya Mali. Droo ya Michuano hiyo imepangwa leo mchana Mjini Cairo, Misri.

Read More
  • International
  • Sports

Yanga Yapangwa Kundi Moja na Al Ahly, ASFAR na JS Kabylie Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Saleh3 weeks ago01 mins

Mabingwa wa soka ya Tanzania Yanga imepangwa Kundi moja la B la hatua ya Makundi ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa ya Afrika na miamba ya soka Afrika Ahly ya Misri. Mbali ya Al Ahly, timu nyingine ambazo imepangwa nazo katika Droo iliyofanyika leo Mjini Cairo, Misri ni ASFAR ya Morocco na JS Kabylie ya…

Read More
  • 1
  • …
  • 6
  • 7
  • 8
Newsmatic - News WordPress Theme 2025. Powered By BlazeThemes.