Meridianbet Yagusa Jamii: Yakabidhi Mashuka Mapya Hospitali Ya Ndumbwi
Meridianbet imeendelea kupanua wigo wa mchango wake kwa wananchi kwa kukabidhi mashuka mapya katika Hospitali ya Ndumbwi. Tukio hili ni hatua inayoakisi namna kampuni binafsi zinavyoweza kuwa nguvu ya faraja na suluhisho kwa changamoto za jamii. Wakati wa kukabidhi msaada huo, Afisa Habari wa Meridianbet, Nancy Ingram, alisisitiza kuwa dhamira ya kampuni yao si biashara…