Azam FC 0-1 Wydad Casablanca, Ibenge atoa yamoyoni
Florent Ibenge Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji walijitoa kwa asilimia kubwa licha ya kukosa matokeo kwenye mchezo wa CAF Confideration Cup. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex ulisoma Azam FC 0-1 Wydad Casablanca ikiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Bao la ushindi lilifungwa na Nordin Amrabat…