Ratiba ya NBC Premier League leo Novemba 28,2025
NBC Premier League kuna mchezo mmoja kati ya Mashujaa FC vs Dodoma Jiji ambao utachezwa saa 10:00 jioni. Uwanja wa Lake Tanganyika wababe hawa wawili watakuwa uwanjani msako wa pointi tatu muhimu ikiwa ni mzunguko wa 9. Mashujaa FC ni nafasi ya 3 kwenye msimamo pointi 11 inakutana na Dodoma Jiji FC nafasi ya 15…