CAF Champions League 2025/26 kituo kinachofuata ni raundi ya pili kwa timu kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu.
Hii hapa ratiba kwa mechi zijazo raundi ya pili 2025/26
Novemba 28,2025
JS Kabylie vs Yanga SC
Rivers United vs RSB Berkane
AS FAR RABAT vs Al Ahly
MC Alger vs Mamelodi Sundowns
Novemba 29,2025
Petro de Luanda vs Esperance
Power Dynamos vs Pyramids
Novemba 30,2025
St Eloi Lupopo vs Al Hilal Omdurman
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.