Orodha ya wachezaji wa Yanga SC waliosafari na timu kuelekea Algeria

Orodha ya wachezaji wa Yanga SC ambao wapo kwenye msafara ulioelekea Algeria kwa kupitia Dubai.

Yanga SC kituo kinachofuata ni dhidi ya JS Kabylie Novemba 28, 2025…

Makipa

Djigui Diarra, Aboutwalib Mshery na Khomeiny

Mabeki

Bakari Mwamnyeto, Dickson Job, Ibrahim Bacca, Assinki, Zimbwe Jr, Israel Mwenda na Boka.

Viungo

Mudathir Yahya, Duke Abuya, Maxi Nzengeli, Shekhan, Conte, Aziz Andambilwe, Kouma, Edmund John, Chikola, Ecua, Doumbia, Pacome.

Washambuliaji
Boyel na Dube.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.