HAYA hapa matokeo ya mechi za CAF Champions League hatua ya makundi 2025/26:-
Novemba 21,2025
Al Hilal Omdurman 2-1 MC Alger
Magoli yamefungwa na Mohamed Raman dakika ya 75 na Abdelrazing Omer dakika ya 45 lile la MC Alger ni Mustafa Karshoum alijifunga dakika ya 53.
Novemba 22,2025
Yanga SC 1-0 AS FAR Rabat
Goli la Yanga SC limefungwa na Prince Dube dakika ya 58
Mamelodi Sundowns 3-1 St Eloi Lupopo
Magoli yamefungwa na Nuno Santos dakika ya 4 na 77, Marcelo Allende dakika ya 61 lile la St Eloi Lupopo limefungwa na Ramos Kashala Wanet dakika ya 44.
Al Ahly SC 4-1 JS Kabylie
Magoli mchezo ya Al Ahly yamefungwa na Mahmoud Trezeguet dakika ya 36 na 84, Mohamed Sherif dakika ya 39 na Mohamed Hadid dakika ya 90+3. Lile la JS Kabylie ni Mohamed El Shenawy dakika ya 90.
Esperance ST 0-0 Stade
RSB Berkane 3-0 Power Dynamo
Magoli ya RSB Berkane yamefungwa na Paul Bassene dakika ya 65, Mounir Chouiar dakika ya 16 na lile la ufunguzi ni Aaron Katebe dakika ya 13.
Pyramids 3-0 Rivers United
Magoli Ahmed Atef Otta dakika ya 72, 57 na dakika ya 52.
Novemba 23,2025
Simba SC 0-1 Petro de Luanda
Goal Benny dakika ya 78 pasi ya Tiago Reis.
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.