Wanaowania Tuzo za TFF 2024/25 Wapo Hapa… Tuzo Kutolewa Desemba 5, 2025, The Super Dome, Dar
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefahamisha wanaowania Tuzo za Msimu wa Ligi Kuu 2024/2025, huku tukitarajia watakaoibuka washindi rasmi Desemba 5, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, Dar es Salaam. Wanaowania Wakuu wa Tuzo za Ligi Kuu NBC: Mchezaji Bora: Dickson Job (Yanga), Pacome Zouzoua (Yanga), Maxi Nzengeli (Yanga), Jean Ahoua (Simba),…