CAF Champions Leagu kivumbi kinaanza kwa wababe uwanjani hii hapa ratiba kwa mechi za mwanzo namna hii:-
Leo Novemba 21,2025
Al Hilal Omdurman vs MC Alger
Novemba 22,2025
Yanga SC vs AS Far Rabat
Mamelodi Sundowns vs St Eloi Lupopo
Al Ahly SC vs JS Kabylie
Esperance ST vs Stade
RSB vs Power Dynamos
Pyramids vs Rivers
Novemba 23,2025
Simba SC vs Petro de Luanda
***
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.