Clement Mzize ametwaa tuzo CAF ya goli bora, imerudi nyumbani
CLEMENT Mzize mshambuliaji wa Yanga SC ya Tanzania ametwaa tuzo ya goli bora la mwaka katika CAF Awards 2025. Mzize alifunga goli hilo Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe. Katika usiku wa tuzo zilizofanyika Morocco, Mzize aliwakilishwa na Rais wa Yanga SC, Injinia Hersi Said. Sababu kubwa ya mshambuliaji huyo kukwama kwenda…