Azam FC Yampandisha Popat Makamu wa Kwanza, Anoro Kuongoza Klabu
Klabu ya Azam FC imemtangaza Octavi Anoro kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu kwa mkataba wa miaka miwili, hadi mwaka 2027. Anoro (42), raia wa Hispania, anachukua nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Abdulkarim Nurdin “Popat”, ambaye sasa amepandishwa cheo kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa klabu. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu, Anoro anakuja…