Yanga SC 4-1 KMC FC ilikuwa kazikazi
Yanga SC 4-1 KMC FC ilikuwa kazi nzito kwa wababe wawili uwanjani Novemba 9,2025 kusaka pointi tatu ambapo dakika 45 za mwanzo mzani ulikuwa kwenye usawa. Ni Maxi Nzengeli alifungua ukura wa mabao alipopachika bao la kuongoza dakika ya 36 likawekwa usawa na mshambuliaji wa KMC FC, Daruesh Saliboko dakika ya 42. Kipindi cha pili,…