Yanga SC vs KMC FC, Uwanja wa KMC Complex Novemba 9,2025, Bacca, Mzize kukosekana
Yanga SC vs KMC FC ni mchezo wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex kwa miamba wawili kusaka pointi tatu muhimu. Rekodi zinaonyesha kuwa kwenye ligi tangu 2018 ni mara 14 wamekutana hivyo mchezo wa leo utakuwa ni wa 15 kwao katika msako wa pointi tatu muhimu. Yanga SC alipata ushindi kwenye jumla ya…