Paisha Helikopta Ya Super Heli Uondoke na Samsung A26

Meridianbet, jukwaa linaloongoza kwa michezo ya kubashiri na kasino mtandaoni nchini Tanzania, limezindua promosheni mpya ya kusisimua kupitia mchezo wa Super Heli, ambapo wachezaji wanapata nafasi ya kipekee ya kujishindia simu nne mpya za kisasa za Samsung A26. Hii ni ofa ya aina yake ikiwapa wachezaji msisimko wa kipekee kila wanapocheza.

Katika mchezo wa Super Heli, kila dau lako linaanza safari ya kupaa angani. Kadri helikopta inavyopanda, ndivyo odds zinavyoongezeka na ushindi wako unavyoongezeka. Lakini hapa ndipo mchezo unakuwa wa kipekee, unahitaji kutoa ushindi wako kabla helikopta haijalipuka, kwani ukichelewa, unaweza kupoteza dau lako lote.

Meridianbet imeamua kufanya mambo kuwa bora zaidi kwa kutoa zawadi za kisasa kabisa. Kila Jumatatu, mshindi mmoja atatangazwa, akijinyakulia Samsung A26, ikimaanisha kuna nafasi nne tofauti za kushinda kila mwezi. Hii ni nafasi ya kweli ya kuwa mmoja wa washindi wa bahati kupitia mchezo unaosisimua zaidi katika kasino mtandaoni.

Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino mtandaoni lakini pia una machaguo ya kutosha ukiwa unabashiri na Meridianbet, kila chaguo lina odds kubwa. Jisajili kwa kupiga *149*10# au tovuti www.meridianbet.co.tz

Kadri unavyocheza Super Heli mara nyingi, ndivyo nafasi zako za kushinda simu ya Samsung A26 zinavyoongezeka. Hii ni promosheni inayochanganya burudani, ushindani, na zawadi za thamani. Hii ni fursa ya kipekee ya kugeuza muda wako wa burudani kuwa ushindi wa kweli.

Usiachwe nyuma na fursa hii. Tembelea meridianbet.co.tz leo, cheza Super Heli, jikusanyie ushindi wako kabla helikopta haijalipuka, na uwe miongoni mwa wachezaji wachache watakaotembea kifua mbele na Samsung A26 mpya kutoka Meridianbet.