Orodha ya wachezaji walioitwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars

Timu ya taifa ya Tanzania, Tafa Stars inayonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Miguel Gamondi inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Kuwait, Novemba 14, 2025  nchini Misri.

Hiki hapa kikosi ambacho kimeitwa kipo namna hii:-

Yakoub Suleiman (Simba SC)
Hussein Masalanga (Singida Black Stars)
Zuberi Foba (Azam FC)
Bakari Nondo (Yanga SC)
Shomari Kapombe (Simba SC)
Mohamed Hussein ( Yanga SC)
Alphonce Mabula, (Shamakhi, Azerbaijan)
Mudathir Yahya (Yanga SC)
Wilson Nangu (Simba SC)
Novatus Dismas (Goztepe FC, Uturuki)
Pascal Msindo (Azam FC)
Ibrahim Bacca (Yanga SC)

Charles M’mombwa (Floriana FC, Malta)
Suleiman Mwalimu (Simba SC)
Feisal Salum (Azam FC)
Morice Abraham (Simba SC)
Abdul Suleiman (Azam FC)
Paul Peter (JKT Tanzania)
Kelvin John (Aalborg bk, Denmark)
Haji Mnoga (Salford City, Uingereza)
Dickson Job (Yanga SC)
Habibu Idd (Singida Black Stars)
Tarryn Allarakhia (Rochdale AFC, Uingereza)

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.