Skip to content
November 4, 2025
  • Simba SC Yapangwa Kundi D na Miamba ya Tunisia, Angola na Mali Ligi ya Mabingwa Afrika
  • Yanga Yapangwa Kundi Moja na Al Ahly, ASFAR na JS Kabylie Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika
  • Simba SC vs TRA United kitaumana Oktoba 30,2025
  • Yanga SC yaibamiza Mtibwa Sugar 2-0 KMC Complex, Zimbwe Jr mchezaji bora

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • November
  • 4

November 4, 2025

  • International
  • Sports

Simba SC Yapangwa Kundi D na Miamba ya Tunisia, Angola na Mali Ligi ya Mabingwa Afrika

Saleh2 minutes ago01 mins

Wekundu wa Msimbazi Simba wamepangwa Kundi D la Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi ikiwa na miamba ya Tunisia Espérance Sportive de Tunis, Atlético Petróleos de Luanda ya Angola na Stade Malien ya Mali. Droo ya Michuano hiyo imepangwa leo mchana Mjini Cairo, Misri.

Read More
  • International
  • Sports

Yanga Yapangwa Kundi Moja na Al Ahly, ASFAR na JS Kabylie Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Saleh4 minutes ago01 mins

Mabingwa wa soka ya Tanzania Yanga imepangwa Kundi moja la B la hatua ya Makundi ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa ya Afrika na miamba ya soka Afrika Ahly ya Misri. Mbali ya Al Ahly, timu nyingine ambazo imepangwa nazo katika Droo iliyofanyika leo Mjini Cairo, Misri ni ASFAR ya Morocco na JS Kabylie ya…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2025. Powered By BlazeThemes.