Yahya Zayd Aongeza Mkataba Mpya Azam FC Mpaka 2027

Klabu ya Azam FC imeweka wazi kuwa imefanikiwa kumsainisha kiungo wake mahiri, Yahya Zayd, mkataba mpya wa miaka miwili. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu, nyongeza hiyo itamfanya Zayd kuendelea kuwatumikia Wanalambalamba hadi mwaka 2027, hatua ambayo inaonyesha dhamira ya klabu hiyo kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa wachezaji waliodumu na wenye mchango mkubwa. Mkataba huo…

Read More

Nasreddine Nabi kuifundisha Simba SC?

JINA la Nasreddine Nabi aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC na kuipa mataji mawili ya Ligi Kuu Tanzania Bara linatajwa kuwa katika orodha ya wale wanaoipigiwa hesabu kupewa mikoba ya Fadlu Davids ndani ya Simba SC. Kwa sasa Simba SC ipo kwenye mchakato wa kumtafuta kocha mpya baada ya Fadlu Davids kupata changamoto nyingine…

Read More

Simba SC 3-0 Namungo FC, Uwanja wa Mkapa

Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba Mosi 2025. Mabao ya Simba SC yamefungwa na Chamou Karabou dakika ya 43 akitumia pasi ya Joshua Mutale ambaye aligipa kona, dakika ya 60 kupitia kwa Rushine De Reuck ambaye alimalizia…

Read More

Kocha Yanga SC bado yupoyupo

WAKATI tetesi zikieleza kuwa kuna uwezekano wa Roman Folz, Kocha Mkuu wa Yanga SC akakutana na Thank You taarifa zinaeleza kuwa bado yupoyupo ndani ya kikosi hicho. Yanga SC ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara ya NBC msimu wa 2025/26 wamecheza mechi mbili pekee ambazo ni dakika 180. Mechi ya ufunguzi walipata ushindi wa…

Read More

WAWILI UNYAMANI KUIKOSA NAMUNGO KWA MKAPA

WAKIWA kwenye hesabu za kumtafuta kocha mpya, Msimbazi wataendelea kukosa huduma ya wachezaji wawili kwenye mchezo wa leo Oktoba Mosi 2025 Uwanja wa Mkapa dhidi ya Namungo. Simba SC kwa sasa ipo chini ya kocha msaidizi Suleman Matola ambaye atakiongoza kikosi hicho kwenye mchezo dhidi ya Namungo FC. Katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika…

Read More

Simba SC yamtaka kocha Yanga SC

INAELEZWA kuwa mabosi wa Simba SC wapo na hesabu za kumpa kazi Miguel Gamondi ambaye kwa sasa ni Kocha Mkuu wa Singida Black Stars. Inaelezwa kuwa Simba SC mara baada ya Fadlu Davids kubwaga manyanga walianza kufikiria kupata huduma ya Gamondi ambaye aliwahi kuinoa Yanga SC na kuipa ubingwa. Uzoefu wake kwenye soka la Afrika…

Read More

UEFA Champions League, Ni Burudani Tupu Usiku Huu

Usiku wa leo, anga la soka barani Ulaya linawaka moto wa ushindani, huku UEFA Champions League ikirudi tena na msimu mwingine wa mechi tisa za kuvutia. Mashabiki wa Meridianbet na wapenda kubashiri wanatarajia burudani ya hali ya juu, huku kila mchezo ukiwa na hadithi yake, ladha yake, na nafasi ya kuandika historia mpya. Vita ya…

Read More