Edna Lema: Tunaiheshimu JKT Queens, Lakini Hatuiogopi
Kocha Mkuu wa Yanga Princess, Edna Lema (Morinho) amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo dhidi ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake, JKT Queens, akisisitiza kuwa wanaiheshimu timu hiyo lakini hawaogopi. “Tutakuwa na mchezo mgumu. JKT Queens ni timu nzuri, inafanya vizuri na ni mabingwa watetezi wa Ligi ya Wanawake pamoja na upande…