Wapinzani wa Yanga SC Silver Strikers wameanza kiburi mapema, watua wakicheza
WAPINZANI wa Yanga SC, Silver Strikers wameanza kiburi mapema kuelekea kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Yanga SC, Oktoba 25,2025. Yanga SC wanakibarua cha kusaka angalau ushindi wa mabao 2-0 ili kukata tiketi ya kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika. Faida ya bao 1-0 walilopata ugenini limewapa kiburi ambapo waliwasili…