Live: Nsingizini Hotspurs 0-3 Simba SC

FT: Ligi ya Mabingwa Afrika:  Nsingizini Hotspurs 0-3 Simba SC

Uwanja wa Somholo kuwania kufuzu hatua ya makundi.

Magoli yamefungwa na Wilson Nangu dakika ya 45, Kibu Denis magoli mawili dakika ya 83 na 89.

Zinaongezwa dakika 6

Gooooal

Simba SC wanapata goli la tatu dakika ya 89 kupitia kwa Kibu Dennis akitumia pasi ya Morice Abraham

Dakika ya 88 Yakoub anaokoa hatari langoni mwa Simba SC

Dakika ya 87 Anthon Mligo anachezewa faulo

Gooooal Simba SC

Dakika ya 83 Kibu Dennis anafunga goal la pili kwa Simba SC akitumia pasi ya Jonathan Sowah

Dakika ya 79 Kwakhe wa Nsinginzini anatoka nafasi yake inachukuliwa na Simale

Dakika ya 79 Jonathan Sowah anachezewa faulo na Kumalo

Dakika ya 75 Chamou anaingia anatoka Nangu

Dakika ya 73 Nangu anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 72 Kagoma anacheza faulo na Rushine anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 69 Mligo anapewa jukumu la kurusha

Dakika ya 67 Nangu anamchezea faulo nyota wa Nsingizini

Mabadiliko kwa Simba SC

Dakika ya 66 Jean Ahoua anakwenda benchi anaingia Kibu Dennis

Anatoka Joshua Mutale anaingia Morice

Anatoka Maema anaingia Yusup Kagoma

Dakika ya 65 Yakoub anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 60 Jean Ahoua anapiga faulo ambayo inakwenda nje ya lango

Dakika ya 55 Kapombe anapiga krosi inapishana na Sowah
Dakika ya 53 Shokari Kapombe anapiga krosi inakuwa goal kikc
Dakika ya 52 Sowah anaokoa hatari

Gooooal

Dakika ya 45 goal Nangu header
Dakika ya 45 Mutale piga kona
Dakika ya 44 Khiwala anaonyeshwa kadi ya njano wa Nsingizini Hotspurs
Dakika ya 43 Kapombe anachezewa faulo
Dakika ya 42 Nsingizini Hotspurs wanarusha baada ya Simba SC kupoteza nafasi
Dakika ya 41 Yakoub pasi yake inakwenda nje ya uwanja
Dakika ya 40 Rushine anapiga pasi fupi
Dakika ya 39 Anthony Mligo anapewa jukumu la kurusha
Dakika ya 38 Nsingizini Hotspurs wanapiga faulo

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.