Live: Nsingizini Hotspurs 0-3 Simba SC
FT: Ligi ya Mabingwa Afrika: Nsingizini Hotspurs 0-3 Simba SC Uwanja wa Somholo kuwania kufuzu hatua ya makundi. Magoli yamefungwa na Wilson Nangu dakika ya 45, Kibu Denis magoli mawili dakika ya 83 na 89. Zinaongezwa dakika 6 Gooooal Simba SC wanapata goli la tatu dakika ya 89 kupitia kwa Kibu Dennis akitumia pasi ya…