FT: Live: Silver Strikers 1-0 Yanga SC

FT: Silver Strikers 1-0 Yanga SC

Zimeongezwa dakika 5

Dakika 90 Pacome anafanya jaribio halileti matunda

Dakika ya 89 Maxi Nzengeli

Dakika ya 88 Doumbia anakosa nafasi akiwa ndani ya 18

Dakika ya 80 Diarra anaokoa hatari

Dakika ya 78 Duke anaingia anatoka Aziz

Goooooal

Dakika ya 76 Silver wnapata goli

Mpira ulianza kwa mlinda mlango likiwa ni shambulizi la kushtukiza, Adulu anafunga goal

Uwanja wa Bingu

Dakika ya 75 Boka anapiga krosi

Dakika ya 73 Ecua anapeleka shambulizi Silver Strikes

Dakika ya 72 Silver Strikes wanapata kona

Dakika 45 za mwanzo kwenye mchezo ulikuwa na ushindani na timu zote zilitoshana nguvu bila kufungana.

***

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.