Meridianbet wanamwaga pesa haswa siku ya leo kwenye burudani kubwa ya EPL. Meridianbet inakuandalia odds za kipekee na fursa kubwa za kubashiri kila pambano, kuhakikisha kila bashiri anapata nafasi ya kushinda. Leo ni siku yako ya kuingia kwenye mchezo wenye uhakika wa pesa.
Mchezo wa Nottingham Forest dhidi ya Chelsea unatufungulia ukurasa wa burudani ya siku na unachezwa mnamo saa 14:30. Chelsea wanatarajiwa kuingia uwanjani kwa lengo moja pekee, kuutafuta ushindi, lakini Forest hawatatoa alama kirahisi nyumbani. Odds za Meridianbet ni moto, chagua upande wako sasa kabla mechi haijaanza.
Brighton na Newcastle ni pambano la kuvutia mashabiki wote. Brighton wakiwa nyumbani American Express Community Stadium wanataka kurejesha nguvu baada ya ushindi mara mbili tu msimu huu, huku Newcastle wakijiandaa kuonyesha mchezo bora. Odds zinazotolewa na Meridianbet zinaongeza msisimko na fursa ya ushindi mkubwa.
Meridianbet pia inakuletea michezo ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Turf Moor inakuwa jukwaa la burudani kati ya Burnley dhidi ya Leeds United, ambapo Burnley wakiwa na rekodi dhaifu kwenye mechi zake za hv karibuni wanakabiliwa na Leeds waliopo nafasi ya 15 katika ligi. Meridianbet inakuletea machaguo mazuri zaidi ya kubashiri, kuhakikisha kila bashiri anapata nafasi ya kushinda.
Mchezo wa mvutano mkubwa ni Crystal Palace dhidi ya Bournemouth. Bournemouth wakiwa nafasi ya nne na alama 14, huku Crystal Palace wakiwa nafasi ya sita na alama 12, pambano hili linaahidi ushindani mkali. Odds za Meridianbet zinakupa nafasi ya kushinda ukichagua upande wako kwa busara.
Mchezo wa siku ni Manchester City dhidi ya Everton dimbani Etihad Stadium. Tangu 2021, Everton hawajawahi kuibuka na ushindi ugenini dhidi ya City, je leo wanaweza kuvunja rekodi hiyo? Meridianbet inakuwezesha kufanya amua mapema na kuingia kwenye ushindi.
Siku inafungwa na pambano la Arsenal dhidi ya Fulham, ambapo Mikel Arteta anatafuta kuhakikisha timu yake inabaki kileleni mwa ligi. Arsenal wameshinda michezo mitano, sare moja na kufungwa mara moja msimu huu. Kwa bashiri wa Meridianbet, hili ni jukwaa la dhahabu la kushinda kwa kubashiri mapema.