Fursa Ya Kipekee Kushinda Samsung A26 Mpya na Meridianbet

Meridianbet inakuletea promosheni isiyo ya kawaida kwa wateja wake wa michezo ya mpira na burudani ya kasino. Kuanzia 01 Oktoba hadi 30 Oktoba 2025, kila mchezaji mpya anayejisajili na kampuni hii namba moja ya ubashiri nchini ana nafasi kubwa ya kushinda simu mpya aina ya Samsung A26 bila gharama yoyote ya ziada.

Ili kuingia kwenye droo hii ya kipekee, mchezaji anatakiwa kuweka tiketi yenye dau la angalau Tsh. 5,000 kila wiki kwenye michezo ya ligi yoyote ya mpira wa miguu.

Kila wiki, wachezaji wawili watashinda Samsung A26, na jumla ya Simu nane zinatarajiwa kufikia washindi wenye bahati. Kadri unavyocheza zaidi, ndivyo nafasi yako ya kushinda zinavyoongezeka.

Meridianbet pia inakuletea michezo ya kasino yenye ushindi mkubwa, ikiwemo Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli, na mengine mengi. Kila mchezo ni hatua moja karibu na zawadi kubwa. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz ili kuungana na mamilioni ya wachezaji wanaoshiriki ushindi kila dakika.

Promosheni hii ni halali kwa akaunti moja kwa kila mtumiaji, na Meridianbet ina haki ya kubadilisha masharti au kuahirisha promosheni wakati wowote. Tiketi za Turbocash na zile za mfumo hazihusishwi kwenye droo hii.

Meridianbet si jukwaa la kubashiri tu, ni mahali ambapo kila dau linaweza kubadilisha bahati yako. Furahia burudani isiyo na kikomo, uwe miongoni mwa washindi, na jisikie mshindi kila siku.