Mashindano ya Kufuzu Kombe la Dunia 2026 Yachukua Sura Mpya Afrika

Mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia barani Afrika yamezidi kunoga leo, huku mataifa kadhaa yakipambana vikali kusaka tiketi ya kuelekea Marekani, Kanada na Mexico mwaka 2026. Wakati vita ya pointi ikiendelea viwanjani, Meridianbet wapo mstari wa mbele kuhakikisha kila shabiki na mbashiri anapata fursa ya ushindi kupitia odds kubwa zaidi sokoni.

Mchezo wa Kwanza ni Sudani Kusini dhidi ya Togo. Ni pambano lenye ladha ya kipekee kwenye Kundi B, ambapo Sudani Kusini wanawakaribisha Togo katika mchezo wa maisha na kifo. Wenyeji wanategemea nguvu za mashabiki wao kuhakikisha pointi tatu hazitoki nyumbani, lakini Togo nao wameapa kuandika historia ugenini. Kwa mbashiri mwenye macho ya faida, odds za Meridianbet kwenye mchezo huu ni bab kubwa.

Kundi C ni Lesotho dhidi ya Zimbabwe. Huu ni mchezo wa uhasama wa muda mrefu. Lesotho wakiwa na vijana wenye kasi wanataka kushangaza, huku Zimbabwe wakitegemea uzoefu wa wachezaji wao wanaocheza soka la kimataifa. Timu hizi zipo karibu kwenye msimamo, na matokeo ya mchezo huu yanaweza kubadili taswira yao kwenye kundi. Bashiri mapema kupitia Meridianbet na ushinde zaidi.

Unaposhuhudia mechi hizi za kufuzu, Meridianbet pia wanakupa nafasi ya kujizidishia kipato kupitia michezo ya kasino kama Aviator, Poker, Roulette, Keno na Superheli. Ni rahisi, piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz. Hapa ndipo jamvi la ushindi linapopatikana.

Usiku huu macho yote yatakuwa kwa Cameroon watakaokuwa nyumbani dhidi ya Angola. Wakati huo huo, Cape Verde watakuwa vitani na Eswatini, huku Mauritius wakipambana na Libya. Cameroon wakiwa na nyota wanaosakata soka Ulaya wanapewa nafasi kubwa, lakini Angola wameapa kuharibu hesabu za wapinzani wao. Odds za Meridianbet kwenye huu mchezo ni kubwa sana.

Kundi H lina jumla ya michezo mitatu kwa siku ya leo, Equatorial Guinea dhidi ya  Liberia, mchezo utakaopigwa Saa 10:00 jioni, Sao Tome & Principe pia anacheza na Malawi huku Tunisia akicheza na Namibia. Sao Tome bado hawajapata alama, wakati Malawi wapo kwenye nafasi ya nne wakiwa na pointi 10, mchezo ulio wazi kwa mbashiri mjanja. Kwenye kilele cha kundi, Tunisia wanaongoza kwa alama 22 wakifuatiwa na Namibia wenye 15.

Mali dhidi ya Madagascar ni pambano la kufunga siku, na bila shaka moja kati ya michezo itakayokuwa na magoli mengi. Mali wanacheza kwa utulivu lakini wanaupiga kwa kasi. Madagascar nao wameahidi kuleta mchezo bora hii leo. Wewe unamuamini nani kumpa tiketi yako ya ushindi pale Meridianbet?