Michuano ya kufuzu Kombe la Dunia barani Afrika imechukua sura mpya, huku mataifa yakipigana kufa na kupona kusaka nafasi adimu ya kuwakilisha bara hili kwenye michuano mikubwa zaidi duniani. Lakini mbali na uwanjani, Meridianbet imezidi kuleta joto kwa mashabiki kupitia odds nono, promosheni kibao, na bashiri za papo kwa papo ambazo zimefanya kila dakika ya mchezo kuwa fursa ya ushindi.
Michezo ya kundi A itawasha moto saa 4 usiku kwa michezo mitatu mikali. Burkina Faso anacheza na Ethiopia. Waburkinabe wanaingia uwanjani wakiwa na morali ya juu, wakijivunia safu ya ushambuliaji inayoongozwa na nyota wanaocheza Ulaya. Lakini Ethiopia, wanaojulikana kwa soka la kasi na nidhamu, wanaingia bila hofu. Kwa mabashiri wa Meridianbet, huu ni mchezo wa kutabirika kwa uangalifu.
Djibouti nae anacheza na Sierra Leone. Djibouti wanatafuta pointi 3 za kwanza nyumbani, lakini Sierra Leone wameapa kuondoka na ushindi. Ni mchezo wa nguvu, na ubabe wa kiafrika. Ukiwa na Meridianbet, unaweza kubashiri hata usipokua na intaneti kwa kupiga *149*10#
Usisahau kasino ya mtandaoni, chukua nafasi kwenye michezo kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Ingia sasa na ongeza nafasi zako za kushinda. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz kubashiri mechi zote.
Misri dhidi ya Guinea-Bissau ndio mchezo unaovuta macho ya wengi. Farao wa Cairo wakiwa nyumbani, mbele ya mashabiki wao, wanataka kuendeleza ubabe wao pamoja na kuwa tayari wamefuzu. Meridianbet imetoa odds kali, na mashabiki wengi tayari wanaweka imani zao kwa Misri kuchukua pointi tatu.
Mapema saa 10 jioni, Zambia watakuwa wenyeji wa Niger katika pambano la kundi E. Chipolopolo wanahitaji ushindi ili kufufua matumaini ya mashabiki juu ya timu hiyo kutokana na mwenendo mbovu waliokuwa nao hivi karibuni. Kupitia Meridianbet, mchezo huu ni kama dhahabu na bonasi zinapatikana.
Chad yupo dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati kwenye pambano la majirani linalovutia hisia. Chad wanataka kujiondoa mkiani na kuweka rekodi nzuri. Meridianbet imeweka odds za kuvutia kwenye mchezo huu. Vilevile, Ghana atacheza dhidi ya Comoros na unatazamiwa kama mchezo wa kulipiza kisasi. Ghana wameshuhudia Comoros wakiwazidi maarifa hapo awali, na safari hii wanataka kulipa kisasi nyumbani.
Mali dhidi ya Madagascar ni pambano la kufunga siku, na bila shaka moja kati ya michezo itakayokuwa na magoli mengi. Mali wanacheza kwa utulivu lakini wanaupiga kwa kasi. Madagascar nao wameahidi kuleta mchezo bora hii leo. Wewe unamuamini nani kumpa tiketi yako ya ushindi pale Meridianbet?