Diamond Platnumz – Nani (Official Music Video)

Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Naseeb Abdul Juma Issack, maarufu kama Diamond Platnumz, ameibua shamrashamra kubwa mitandaoni baada ya kuachia ngoma yake mpya ambayo imewapagawisha mashabiki ndani na nje ya Tanzania. Ngoma hiyo mpya, ambayo kwa sasa imeanza kutrendi kwenye majukwaa yote ya muziki mtandaoni, imepokelewa kwa shangwe kubwa…

Read More

Michuano ya Kufuzu Kombe la Dunia Afrika Yazidi Kupamba Moto!

Michuano ya kufuzu Kombe la Dunia barani Afrika imechukua sura mpya, huku mataifa yakipigana kufa na kupona kusaka nafasi adimu ya kuwakilisha bara hili kwenye michuano mikubwa zaidi duniani. Lakini mbali na uwanjani, Meridianbet imezidi kuleta joto kwa mashabiki kupitia odds nono, promosheni kibao, na bashiri za papo kwa papo ambazo zimefanya kila dakika ya…

Read More