Mechi tano za Yanga SC ndani ya NBC Premier Leagu ratiba

ROMAIN Folz, Kocha Mkuu wa Yanga SC yupo kazini kuwapa mbinu wachezaji kuelekea mechi za ushindani kitaifa na kimataifa.

Hapa tunakuletea mechi tano zijazo kwa Yanga SC wakiwa ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika.

Mechi zijazo zipo namna hii ndani ya NBC:-

Yanga SC vs Mtibwa Sugar, Oktoba 29 2025, Uwanja wa KMC, Complex.

Yanga SC vs KMC FC, Novemba 4 2025, Uwanja wa KMC Complex.

Coastal Union vs Yanga SC, Desemba 10 2025, Uwanja wa Mkwakwani.

Yanga SC vs Simba SC, Desemba 13 2025, Uwanja wa Mkapa.

Yanga SC vs Dodoma Jiji FC, Uwanja wa KMC Complex, Februari 18 2025.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.