
Rais wa Yanga SC ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano na FIFA
Rais wa Klabu ya Yanga SC ambaye ni Mwenyekiti wa Vilabu barani Afrika(ACA), Eng. Hersi Said ameteuliwa na Shirikisho la Soka Duniani, (FIFA) kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano yote ya vilabu ya Wanaume Duniani. Nafasi hiyo atadumu nayo kwa muda wa miaka minne kuanzia 2025-2029. Oktoba 2 maamuzi yalichukuliwa na FIFA na taarifa ilitumwa…