Kiwanja Kinauzwa – Bagamoyo, Kaole Magambani

Kiwanja kipo Bagamoyo, Kaole Magambani (Nyuma ya Bagamoyo Secondary School) katika eneo tulivu na salama. Umbali wa mita 500 kutoka barabara ya lami Umbali wa mita 500 pekee kutoka ufukweni mwa bahari 📏 Ukubwa na Sifa Eneo lina ukubwa wa 848 sqm (limepimwa rasmi) Tambarare, linafaa kwa ujenzi wa makazi au biashara Ardhi ya kichanga,…

Read More