Serie A, Premier League, Ligue 1: Mechi Zote Ziko Hapa na Odds Kubwa leo

Mashabiki wa soka, burudani ya hali ya juu inakuja jumamosi hii. Ligi kuu mbalimbali barani Ulaya zimerejea kwa kishindo, zikiwa na mechi za kuvuta hisia za mashabiki na kubadilisha upepo wa msimamo wa ligi. Kwa wale wanaopenda kubashiri, Meridianbet imejiandaa kikamilifu kukupa machaguo ya kipekee, promosheni kabambe, na odds za kuvutia kwa kila pambano.

Italia inaanza kwa kishindo. Lazio watakuwa nyumbani wakikabiliana na Torino katika mechi ya ufunguzi, huku Parma wakipambana na Lecce kwenye mchuano unaotarajiwa kuwa wa ushindani mkubwa. Meridianbet inakupa nafasi ya kubashiri matokeo ya mapema, idadi ya magoli, mfungaji wa kwanza, na machaguo mengine mengi ya kuvutia.

Usiku, Inter Milan wataingia dimbani dhidi ya Cremonese. Mechi hii si tu ya pointi, bali ni fursa ya kubashiri idadi ya kona, kadi za njano, na matukio ya kiufundi kwa odds kubwa na za kipekee.

Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi nyingine nyingi za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#

Ndani ya Bundesliga, Bayer Leverkusen watachuana na Union Berlin, Borussia Dortmund wakipambana na RB Leipzig, huku Werder Bremen wakikaribisha St. Pauli. Lakini moto halisi utawaka saa 19:30 pale Eintracht Frankfurt watakapokutana na mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Bayern Munich. Meridianbet inakupa nafasi ya kuchagua bashiri sahihi kwa kila dakika ya mchezo.

England haibaki nyuma siku ya leo. Arsenal watawakaribisha West Ham United, Manchester United wakipambana na Sunderland, huku Chelsea wakijiandaa kwa mtanange mkali dhidi ya Liverpool, mechi ya kukata na shoka inayotarajiwa kuhitimisha jioni kwa kishindo. Kwa mashabiki wa live betting, Meridianbet imeweka odds za kiushindani na machaguo ya papo kwa papo kwa kila tukio.

Nchini Ufaransa, kwenye Ligue 1, mechi ya Metz dhidi ya Marseille itaanza jioni, ikifuatiwa na Brest dhidi ya Nantes saa mbili usiku. Timu zote zikiwa na ubora wa hali ya juu, mashabiki wa kubashiri wanapata mechi ya pesa kwa kuweka jamvi lao pale Meridianbet.
Usiku utahitimishwa na Auxerre dhidi ya Lens, mchezo wa timu namba saba dhidi ya timu namba 14 kwenye msimamo wa Ligue 1. Kwa wale wanaopenda mechi za usiku, hii ni nafasi ya mwisho ya kuchukua ushindi wa wikiendi.