
FIFA Yazindua Mpira Mpya “Trionda” kwa Kombe la Dunia 2026
Shirikisho la soka Duniani, FIFA, limezindua mpira utakaotumika katika Michuano ya Kombe la Dunia 2026 uliopewa jina la Trionda ambapo una teknolojia maalumu. Mpira huo unaitwa ‘Trionda’ -neno la Kihispania linalomaanisha mawimbi matatu ikiwa ni ishara kwamba Kombe la Dunia litaandaliwa na nchi tatu. Mpira huo una rangi tatu, nyekundu, Kijani na Bluu, zikiwakilisha…