
Simba SC 3-0 Namungo FC, Uwanja wa Mkapa
Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba Mosi 2025. Mabao ya Simba SC yamefungwa na Chamou Karabou dakika ya 43 akitumia pasi ya Joshua Mutale ambaye aligipa kona, dakika ya 60 kupitia kwa Rushine De Reuck ambaye alimalizia…