Live: Mbeya City 0-0 Yanga SC
Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Uwanja wa Sokoine Septemba 30 2025 FT: Mbeya City 0-0 Yanga SC Mbeya City inagawana pointi moja na mabingwa watetezi Yanga SC katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa mwanzo mwisho. Eneo la kuchezea limekuwa ni changamoto kwa wachezaji wote wa timu zote mbili wenyeji Mbeya City na wageni Yanga…