Yanga SC vs Wiliete SC ni Jumamosi hii kwa Mkapa

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika hatua ya awali wanakibarua cha kusaka ushindi dhidi  ya Wiliete SC Jumamosi hii. Yanga SC itaingia uwajani ikiwa na faida ya ushindi wa mabao 3-0 waliyopata katika mchezo wa ugenini mabao yakifungwa na Aziz Andambwile aliyefungua ukurasa katika anga la kimataifa, Edmund John na Prince Dube. Ali…

Read More

Gianni Infantino Asimama Na Amani, Ataka Ulimwengu Kuwaunganisha Watu Kupitia Kandanda

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, ametoa wito wa amani duniani, akisisitiza haja ya kulinda utu wa binadamu hasa kwa watoto na kina mama wanaoteseka kutokana na vita na migogoro. Akizungumza katika mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Infantino alisema: “Sote tunajua kwamba tunaishi katika ulimwengu uliogawanyika, ulimwengu mkali,…

Read More